Aisee nimeona pilau😂, hapo tambi na ile mboga ya mayai ka fast food flani ka ki bachela, tambi unaweka kwenye thermos na maji moto, ukirudi kutoka mizungukoni unatengeneza mboga ya mayai imeisha hio, mimina tambi toka kwenye thermos imeisha hio, haina kuremba😋😋