Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,585
Hatari Sana. Imani inasaidia Sana kujenga maadiliAcha niongee nikiwa na akili timamu ni set dish mahala pake.
Issue sasa hivi ya kutokuwa na uaminifu na hofu kwenye mahusiano mengi inatokana na misingi mibovu ya kiimani, kimaadili ukiachana na yote mengine. Kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu kinajengeka kwenye imani na maadili (kwenye maadili tunapata tamaduni )
Niongee kwa ufupi imani ya kweli, inapokosekana si Me au Ke atae kuwa na hofu kwa Mungu, hofu kwa Mungu ikishapotea hakuna uaminifu, mtu hamuogopi Mungu na sio muaminifu kwa Mungu unategema awe na hofu na muaminifu kwa mwanadamu mwenzake?
Tukija kwenye tamaduni, misingi mingi ya kitamaduni imekufa enzi zetu tulipokuwa tunataka kuoa wazee wanafanya vetting kijijini, unaoa unacho kijua na unaolewa na unacho kijua..
Ila sasa hivi nakutana na manzi kidimbwi imenipa mifinyo kesho natangaza ndoa hujui kama jambazi au mchawi
Kweli kabisa mkuuHatari Sana. Imani inasaidia Sana kujenga maadili
Tayari...karibia na rafiki zetu wale 🙂Naomba 😊😊
Lizzy nakupendaTayari...karibia na rafiki zetu wale 🙂
Unanipendea nini tena jamani??😳😳Lizzy nakupenda
Yaani hata sijuiUnanipendea nini tena jamani??😳😳
Life is too short💃💃Tule raha 😊😊
Basi ukijua utaniambia 😊Yaani hata sijui
Mapenzi yangu kwako si kwa sababu uni reward chochote yaani all those things that make loving more enjoyable si sababu ya mimi kukupenda, yaani i cant explain...Basi ukijua utaniambia 😊
AiseeLizzy nakupenda
Nakuja jirani
Jirani Jirani..
🤣🤣🤣🤣🤣
Jirani kumpenda mtu vibaya?Aisee
Tukule chipsi jiraniJirani Jirani..
Sema tu ukweli kuwa ni mzungu wa roho..Mapenzi yangu kwako si kwa sababu uni reward chochote yaani all those things that make loving more enjoyable si sababu ya mimi kukupenda, yaani i cant explain...
Nipo njiani 😇😊😊😊Tayari...karibia na rafiki zetu wale 🙂
Chukua chips hapo, hakikisha anakuwekea na mayonnaise, National Anthem anakuja kulipaSema tu kuwa ni mzungu wa roho..
Itakuwa amewahi kuishi mamtoni huyu!
Sio wengine mara tuparangane na akina Coca🤣🤣🤣🤣
Mara wengine wanachambana hapa wakavu hata hawana mshipa wa aibu,Hadi mshindi hapatikani.
Tena usije fanya nikakuumiza..Chukua chips hapo, hakikisha anakuwekea na mayonnaise, National Anthem anakuja kulipa