Tulia hapo nishushe somo la kutosha
Ngoja niombe ruhusa kwanza kwa bi mkubwa
Naona jana mlikua mnaongea wenyewe tu hapa, hivi mnaelewa kuwa wanaume pia tunapenda tena kuliko nyinyi??
Vocha siwezi kukunyima jirani yake myoyambendi labda kuna vingine vya kukunyima🤣🤣
Alafu huu ujirani wenu huu.... siku nikifahamu mnaishi wapi nitakuja kuwachungulia🙊