Hao wanaopanga wanawake sioMwisho wa siku anakua karuka mkojo kakanyaga maviiiii anahahaa sio kidogooooo.... full kusumbuanaa mmxxcieeewww ππππ!! Peleka huko gonorhoea zenu alaaaahh!!πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ
Bado Napanda maharage mie πππΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ
Kamoja kakiwa single katakosa joto la mwenzake ππππππ naomba kamoja
π€£Hautak stressNa ukweli Mama akinipenda inatosha πππ wengine wakafie mbele huko..
Tumia browser ndio ina nafuu sis App inazingua sanaUmepost?.sijaona nikifungua kupitia comments za watu inagoma..
Mie nataka hela, nataka kuchepuka na hela, nataka mapenzi na hela nataka hela inipende πππ.. Pesa ni jawabu la mambo yote..π€£Hautak stress
Niko poa jirani, habari ya weweHujambo jirani, mimi niko poa
Sawasawa. Mimi sijambo jiraniNiko poa jirani, habari ya wewe
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee πππππ€Έπ€Έπ€Έπ€ΈNimepata Sisy akee. Ntafanya kama najikuna hivi na mimi hahahahahah
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee πππππ€Έπ€Έπ€Έπ€ΈNimepata Sisy akee. Ntafanya kama najikuna hivi na mimi hahahahahah
Na hili baridi atagandaπKamoja kakiwa single katakosa joto la mwenzake πππ
Sawaaaaa in "sukuma's lafudhi"Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee πππππ€Έπ€Έπ€Έπ€Έ
Wabheja sana sis!! βοΈ ukijikuna Usiache kututag jamane tunaeza kuwa tunaswampa duniani mwingine hukoo
Jioni njema jiraniSawasawa. Mimi sijambo jirani
Kabisaaa dear .. unaanza kumtafuta mchawi wako wakati umejiroga mwenyewe nhiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!Hao wanaopanga wanawake sio
Dunia imeisha hii dah , magonjwa tele mengine hayatibiki hata .
Panda maharage dear
Kama mnataka mbususu mnataka ngapi? kwa maana hamtulii na moja wenyewe mna kamsemo kenu kwamba mnabadilisha radhaπ€·πΌββοΈSie tunaka mbususu, nyie sijui mnataka kupendwa sijui kujaliwa na makololo mengine meeengi
Au wee unajifanya kupenda Kweri Kweri umbe mwenzio alikutamani tyu jomoneeππππππππ! cocastic shoss akee wherayuuuu?? Miss you dearAcha wanaopenda waendeele
Tumeumbwa kutii sie .. utapenda kumbe unapenda peke yako
Acha niongee nikiwa na akili timamu ni set dish mahala pake.Kama mnataka mbususu mnataka ngapi kwa maana hamtulii na moja wenyewe mna kamsemo kenu kwamba mnabadilisha radhaπ€·πΌββοΈ
π€£π€£π€£π€£π€£!! Tuendelee kuselfika sie πππWapeleke nn Leo madam umewachanaπ€£π€£
π―π¨FactAcha niongee nikiwa na akili timamu ni set dish mahala pake.
Issue sasa hivi ya kutokuwa na uaminifu na hofu kwenye mahusiano mengi inatokana na misingi mibovu ya kiimani, kimaadili ukiachana na yote mengine. Kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu kinajengeka kwenye imani na maadili (kwenye maadili tunapata tamaduni )
Niongee kwa ufupi imani ya kweli, inapokosekana si Me au Ke atae kuwa na hofu kwa Mungu, hofu kwa Mungu ikishapotea hakuna uaminifu, mtu hamuogopi Mungu na sio muaminifu kwa Mungu unategema awe na hofu na muaminifu kwa mwanadamu mwenzake?
Tukija kwenye tamaduni, misingi mingi ya kitamaduni imekufa enzi zetu tulipokuwa tunataka kuoa wazee wanafanya vetting kijijini, unaoa unacho kijua na unaolewa na unacho kijua..
Ila sasa hivi nakutana na manzi kidimbwi imenipa mifinyo kesho natangaza ndoa hujui kama jambazi au mchawi
Kwaiyo shida sio Me au Ke, misingi imeharibika na mapokeo ya ulaya ( tumepokea vibaya). Ila leo hii wapo wanawake wazuri sana na wapo wanaume wazuri kabisa ndoa zao kama peponi, na wapo kama sie utapigwa matukio hadi ukate rohoo π ππ―π¨Fact