Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli shetani pia yupo kazini.


Yaani wewe kama Mimi..sipendi kujiattach sana na watu..Mambo ya kuja kupigana matukio na marafiki Wala siyataki.
Naongea na kila mtu lakini muda mwingi nakuwa mwenyewe.
[emoji6][emoji6][emoji6] Hii ya "kujiattach sana na watu" pia nimeinote [emoji404][emoji404]

Asante Bado Nipo hapa [emoji144][emoji144][emoji144]
 
😊😊😊😊 Dah! Ila una uzoefu hata wa kuwa na mtu.. Kwaiyo huwezi pata stress zingine
 
Ohooo umzanie ndie kumbe siye kungwi huyo
Mdomo komaa 😷😷
Mapee yamewapata wenyeweee πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
Weraweeraaaaaaaaaaaaaa... in cocastic voice!!
Inapendeza sanaaaa🀸 πŸ‘πŸ‘βœŒοΈ
Saint Anne sina budi kusema

"Kila lenye kheri mamaa"😘
Tunakumbushana tu lakini
"love is a war ..it is a battle"
 
Weee usinambie tayari keshakorezwa??πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰!!
Na mbona naona bado sana mie Saint Anne sema kweri walai??πŸ€”πŸ€”πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna mtu ambaye hajui kupenda.
Mungu alituumbia upendo..
Kazi ni kupata mtu unayempenda na yeye anakupenda.


Mimi napenda kwa moyo wote😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…