Thank you dearDah masikini🥺
Pole.
Mtumishi mmoja anasema mpe Mungu moyo wako .
Ukiweka moyo wote Kwa rafiki au mchumba ,siku wakikuumiza utaumia sana..
Lakini Mungu ukimpa Moyo wako hawezi kukudisappoint..
Hata kama utakuwa disappointed na wengine bado utakuwa na nguvu maana yupo Mungu ambaye umempa nafasi Kubwa na ni WA thamani kuliko vyote.
Na Mungu ukimpa nafasi yote Moyoni, basi hapatakuwa na uwazi wa kubeba watu waliokuumiza.
Sauwaaasaauuuuwwwaaaaa,✌️Yeah kama ipo ipo tu
Bado kuna watu wazuri na wema..Thank you dear
Nakuwa peke yangu muda mwingi , faraja yangu ni nyimbo na kumtegemea Mungu .
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
We ndio mpenzi wangu sitakuacha
Niende wapi nimekuchagua wewe
Nifuate nani kwako kunautulivu
😆😆😆😆Kumbe ulikuwa zazwaaa ebu nchekeeee unanilili na kushindwa lala kisaTaratibu utazoea.
Mimi mwenyewe rship ya mwanzo ilivyovunjika sikulala ile wiki japo hakuna nilichopoteza.
Nikikumbuka huwa nacheka jinsi nilivyokuwa zwazwa.
Kwema mzee siku zinaendaaKwema mkuu, mambo vipi?
I have learnt not to correct people even when I know they are wrong, making everyone perfect sio jukumu langu, lakini yote kwa yote na kikubwa zaidi peace is more precious than perfection, so tuishi kwa amani...Yule mtoto akija hapa na matusi yake🤣
Sijui utajifichia wapi🤣🤣🤣
Bonge la point dear😃
Mimi nimejifunza kutoweka matarajoo makubwa kwa watu.
Watu wanabadilika aisee...
Unayedhani ni rafiki yako kumbe hata,, mwenzio hakuoni hivyo.
Unamchukulia mtu kama ndugu yako Kumbe mwenzio walaaa.
Akufaaye Kwa dhiki hiyo ndiye wa kubaki naye.
Still noting some points [emoji404][emoji404][emoji404][emoji144][emoji144]Bado kuna watu wazuri na wema..
Mungu atawaleta.
Yeah , watu wazuri wapoBado kuna watu wazuri na wema..
Mungu atawaleta.
Natamani sana kumuona Saint Anne akiwa kakolezwa ile kisawasawa na mapenzi walai🤭🤭 Sijui kwanini😆😆😆😆Kumbe ulikuwa zazwaaa ebu nchekeeee unanilili na kushindwa lala kisa
ndio mkuu karibu sana. Nipo na mtoto mbichi kabisa Saint AnneKwema mzee siku zinaendaa
Yah nilipata stress.😆😆😆😆Kumbe ulikuwa zazwaaa ebu nchekeeee unanilili na kushindwa lala kisa
Usijisahaulishe ujue kuwa nakudai.ndio mkuu karibu sana. Nipo na mtoto mbichi kabisa Saint Anne
Nikolezwe mara ngapi boss ledi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Natamani sana kumuona Saint Anne akiwa kakolezwa ile kisawasawa na mapenzi walai🤭🤭 Sijui kwanini
Kweli shetani pia yupo kazini.Yeah , watu wazuri wapo
Anyway we should always pray maana shtetani yupo kazini ..huku tukimtumainia Mungu muweza wa yote
Samare haijajaa boss ledi?Still noting some points [emoji404][emoji404][emoji404][emoji144][emoji144]
Mie naitikiaa tyuuu " Ameeeen hallelujah,, wapo" ][emoji6]Yeah , watu wazuri wapo
Anyway we should always pray maana shtetani yupo kazini ..huku tukimtumainia Mungu muweza wa yote
Aisee? pole sanaYah nilipata stress.
Nikawaza huyu mbona ameamua hivyo wakati tulikubaliana vizuri kusubiri nimalize shule ndipo tuanze mambo mengine.
Zikaanza pilika pilika za ugomvi ili ipatikane sababu.
Nikagive up kweli.
Watu wakawa wanasikitika Hawa watoto vipi tena,akawa anajiwahi kuwa eti nilipoenda shule nikawa busy.
Sasa wazazi watupe ada halafu nizembee kusoma nidisco!
Masomo tu yalikuwa yananipeleka puta.
Tena wanaojionyesha kuwa wema machoni ndio huwa wabaya hao acha kabisa.Bonge la point dear
Expectations always hurt
Laiti Mungu angekuwa anatupa ufunuo wa watu , nahisi tusingehata ongea nao .
Mwaka huu ulikuwa mgumu kwangu Ila Mungu bado yupo still fighting for me .
Wacha weeeeh[emoji6][emoji848][emoji848]Nikolezwe mara ngapi boss ledi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona nampenda sana mtoto wa watu...Ila akiondoka basi tena[emoji2]