Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Waooo unakula karanga mechi la Leo nzuri sana Liverpool watashinda 3 bilaKuna ule ya mwanzo Nkamu,Kabla yaa hii uliyotoa.
Mimi mzima, Karibu tule Karanga.View attachment 2346521
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wewe ni wakishua ndugu yanguTinsley nimenunua tambi hzo kilichobak ni mapishi ya jioni sasa [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2346515
Pole PutinCrips [emoji39][emoji39] nimekula zime expire [emoji856][emoji26][emoji26]View attachment 2346518
Hapana huwa napenda tu hzo tambi nitafata ulivyo nifundishaWewe ni wakishua ndugu yangu
Hebu ona tambi hiyo
Nipe matumiz ya vanila mdogo wangu nimenunuaPole Putin
hahahahaha,furaha na marafikiYeah furaha ni muhimu
Thank you .
Chizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waooo unakula karanga mechi la Leo nzuri sana Liverpool watashinda 3 bila
Mnakuja mbweni niwasubiri beach au[emoji848]Twende jioni ya leo
Nitakuwa Mianzini hapo pembeni ya Aga Khan
TumeghairiMnakuja mbweni niwasubiri beach au[emoji848]
Hizo nzuri , tafutia na nyama ya kusaga hapo .Hapana huwa napenda tu hzo tambi nitafata ulivyo nifundisha
Hahaaaaaa....! Vijana wanatesekaView attachment 2345891
Ila hawa wakaka wanapitia changamoto jamani kh[emoji3][emoji3]
Eeh unapenda mapishi KakaNipe matumiz ya vanila mdogo wangu nimenunua
Exactlyhahahahaha,furaha na marafiki
Putin kaghairiMnakuja mbweni niwasubiri beach au[emoji848]
Mpe hongera kwa kazi nzuri anayofanya.Karibuni uji. Niko kiduka cha mangi kn mdada mzuri anauza uji mtamu sana
kazipata ,tunampigisha story hpMpe hongera kwa kazi nzuri anayofanya.