Usiniambie kiranga kwisha kabisa
Kiukweli Napenda kushikwa shikwa miguu Kwa kusuguliwa
Kufanyiwa massage ya kichwaKutolewauchafu sikioniNaweza lala hapo hapo aise
Weee Zongthong Climber usitutanie hapaaa,Mnoooo
Akipiga ile style na mbinukomambo si mambo nyie.
Flatscreen kwakweli twende uturuki tu hakuna namna
๐คฃ๐คฃMdomo komaHahahaaa... unafaa ukaimu katibu madam kiongozi wenu C. Putin!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Aweee sitak ninarafiki yngu anakaa magomen ujueEti "kinondoni na Magomeni vijana wengi wa kiume wametelezea chooni" mama m1 alisema venye kwenye media.
Mimi jitihada zangu ziligonga mwamba baada ya mguu kuvaana uso kwa uso na bomba,, wakaendelea wengine๐Kuku alipatikana lakin๐คฃ
Subiri asubuhi wakati wa kuinuka uone unavyouma๐คฃAcha tu kipenzi!! Asante!! Na kupona kwake napo it takes time!! Sema nashukuru mungu nimepata nafuu walau
Alafu ni mara ya kwanza kufanyiwa na WA kiume huwa kinasaluni kunamdada ananifanyiaga ni saluni ya kiume lkn yupo Kwa ajili hiyo sema nilikuwa sipo maeneo hayo ๐ila wababa nao waombewe aisee wakinyoa nywele alafu scrub wa kike awee๐คฃ๐คฃ๐คฃmnakutana na vituko sana huko kwenye urembooo.
๐คฃ๐คฃ๐คฃMimi jitihada zangu ziligonga mwamba,, wakaendelea wengine๐
Watoto wa mjini hawawezi elewa haya mambo๐คฃ
Sisi wa bush kuku alikuwa akitolewa go ahead basi mnasema naye hadi anakamatwa๐
Hakuna kitu kinaleta raha kama kutolewa mba kichwani na kupakwa mafuta.Usiniambie kiranga kwisha kabisa๐คฃ๐คฃ
Kiukweli Napenda kushikwa shikwa miguu Kwa kusuguliwa๐ฅฐ๐ฅฐ
Kufanyiwa massage ya kichwaโบ๏ธโบ๏ธโบ๏ธKutolewauchafu sikioni๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธNaweza lala hapo hapo aise
Asante shoss nataka kuwa ajatt ๐! ๐ค๐คWee shouzzzzz hiki kihindi mbna kizuri sanaaa??
Kimekutoa mcharo hatareee, nogaaaa sanaaaaa.
Jamaniiiiii !! Hapa tu nakoma Mbona hio asubuhi ndio nitazirai kwa maumivu asee!!Subiri asubuhi wakati wa kuinuka uone unavyouma๐คฃ
Aweee sitak ninarafiki yngu anakaa magomen ujue
Alafu ni mara ya kwanza kufanyiwa na WA kiume huwa kinasaluni kunamdada ananifanyiaga ni saluni ya kiume lkn yupo Kwa ajili hiyo sema nilikuwa sipo maeneo hayoila wababa nao waombewe aisee wakinyoa nywele alafu scrub wa kike awee
๐๐nilicheka ile siku mie uwiiiiiih. Mkague huyo rafk ako, utakuta ni mtoto wa watu zamaniiiiiii.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃLizzy anakula kipande kimoja View attachment 2345783
Mm hivi vyote lakn Bado najiuliza nitapata usingiz kweli na mlo huu๐๐๐
Hata ukiwabembeleza??Lizzy nacheza na tujamaa hatutaki kunizoeView attachment 2345865
Unataka kuniua ๐ต๐ตLizzy kesho uanze madarasa Madesa hayaView attachment 2345866
Nijikute tu nakula matunda pekeyake halafu nilaleLizzy anakula kipande kimoja View attachment 2345783
Mm hivi vyote lakn Bado najiuliza nitapata usingiz kweli na mlo huu