Zimekaa sana mbona mrembo mwenye guu lake !!ππ
Mm mbna camera hainitoi hivo Hilo og kabisa π€£π€£π€£Mweh asante Kamera mamaa!πππ
Usiniambie kiranga kwisha kabisaπ€£π€£πNilikuwa ugenini sehemu nikataja nifanye facial usowang sikuhiz haujakaa sawa nikatafuta saluni nikakosa nikaingia ya kiume nikaona facial ni kipengele nikamuomba anifanyie scrub π
Nikasuguliwa wew inafutwa napakwa nyingine akasugua sura akafuta akapka nyingine mara ya nne nikamstopisha ππakasema na shingo nikamwambia acha akasema bas nimalizie sura nikupake Tena ππ
Nikakubali akapaka akanisugua uso akanambia dada vipi nikufanyie scrub na lipsππnikaona mambo yashakua mengi nikamwambia nifute niondoke
Awapi Madam ni kamera tu mamaa!Mm mbna camera hainitoi hivo Hilo og kabisa π€£π€£π€£
Aisee madam mzuri sana shemeji kaopoa pisi Kali
Hakuna ufutio ukafuta hicho kiwingu hapo mam
Ningekupeleka Kwa huyo kaka ππUsiniambie kiranga kwisha kabisaπ€£π€£
Kiukweli Napenda kushikwa shikwa miguu Kwa kusuguliwaπ₯°π₯°
Kufanyiwa massage ya kichwaβΊοΈβΊοΈβΊοΈKutolewauchafu sikioniπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈNaweza lala hapo hapo aise
Waone wataalamu wenye maarifa hayo wapo humuπ€£π€£ππ!!Hakuna ufutio ukafuta hicho kiwingu hapo mam
Kiranga kiliishaππscrub ya lips hapana aiseeUsiniambie kiranga kwisha kabisaπ€£π€£
Kiukweli Napenda kushikwa shikwa miguu Kwa kusuguliwaπ₯°π₯°
Kufanyiwa massage ya kichwaβΊοΈβΊοΈβΊοΈKutolewauchafu sikioniπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈNaweza lala hapo hapo aise
Mnooooπ₯°π₯°π₯°Aisee madam mzuri sana shemeji kaopoa pisi Kali
πππkwakweli poleKiranga kiliishaππscrub ya lips hapana aisee
πNa hiv tumekosa tako na Hela hatuna π€£π€£Mnooooπ₯°π₯°π₯°
Akipiga ile style na mbinukoπππmambo si mambo nyie.
Flatscreen kwakweli twende uturuki tu hakuna namnaππ
Hahahaaa... unafaa ukaimu katibu madam kiongozi wenu C. Putin!Aisee madam mzuri sana shemeji kaopoa pisi Kali
Waone wataalamu wenye maarifa hayo wapo humuπ€£π€£ππ!!
Kwakweli ni huzuni mnoπNa hiv tumekosa tako na Hela hatuna π€£π€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnakutana na vituko sana huko kwenye urembooo.[emoji23]Nilikuwa ugenini sehemu nikataja nifanye facial usowang sikuhiz haujakaa sawa nikatafuta saluni nikakosa nikaingia ya kiume nikaona facial ni kipengele nikamuomba anifanyie scrub [emoji23]
Nikasuguliwa wew inafutwa napakwa nyingine akasugua sura akafuta akapka nyingine mara ya nne nikamstopisha [emoji23][emoji23]akasema na shingo nikamwambia acha akasema bas nimalizie sura nikupake Tena [emoji23][emoji23]
Nikakubali akapaka akanisugua uso akanambia dada vipi nikufanyie scrub na lips[emoji23][emoji23]nikaona mambo yashakua mengi nikamwambia nifute niondoke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote hao ni wanafunzi wangu, uchawa na upambee nauweza mie tyuuh, wengine wanaigaa.Unamkaribia Carrasco putin ujue yeye chairp wee katibu wakee!![emoji2960][emoji2960][emoji8][emoji8]!!
Eti "kinondoni na Magomeni vijana wengi wa kiume wametelezea chooni" mama m1 alisema venye kwenye media.Nn aunt[emoji1787]
Mrembooooo km mrembooooo, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]