Yes dearWee kumbe!! Nirikua sijui [emoji848][emoji848][emoji848]!!
Single 4 life,Nakuelewa hapo kwa bed , unajiachia zako . Huna habari
Single for life [emoji23][emoji23][emoji23]
Baki hapohapooo mamyyyy!! Wewe treinaaaaaaaaaahhh!!! Sema kingine ππMadam nimepitwa na selfie zote
Rahagani auntSingle 4 life,
Raha jipe mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu shusha hizo nondo, mie nipate madesa,Una bahati sijakuzoea....
Ningeshusha nondo hapa za kueleweka. Niseme tu mtazamo wako ni pevu na sahihi. I wish mabinti wote wangekuwa na mtazamo huu chanya. Tungezuia desperation, depression na kuingia kwenye ndoa mfu! Uko vizuri sana Tinsley [emoji122][emoji122][emoji122]
NasubiriBaki hapohapooo mamyyyy!! Wewe treinaaaaaaaaaahhh!!! Sema kingine ππ
Thank you aisee japo watu hawawezi kukuelewa kisa hicho . Why should I stress myself kwa kitu kisichoenda .Just by being optimistic...you have already have won 75% of your battles πππ
Usipepese hata kope Sweet Madam πNasubiri
Unaenjoy mwenyeweSingle 4 life,
Raha jipe mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko poa nasubirUsipepese hata kope Sweet Madam π
Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!Shida Sana changamoto tunazopitia
As if kuolewa ni kazi rahisi zama hizi .
Mtu inabidi ukae zako , akitokea wa kubeba sawa .. Kama sivyo uishi mwenyewe tu
Shangazi wee ni mremboooooooo!!!!Nilibadili sura kutoka sura ya baba had ya aunt makeup zifungiwe tu [emoji23]View attachment 2345890
Hongereni sanaTumemkanda mtu huko MAN UNITED SHETANI MWEKUNDU
Usukumani we huondoki mpwa! πππNilibadili sura kutoka sura ya baba had ya aunt makeup zifungiwe tu πView attachment 2345890
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafanyiwa surgery bubu dear??View attachment 2345891
Ila hawa wakaka wanapitia changamoto jamani kh[emoji3][emoji3]
Santeeeeehhh ππππ!!Nilibadili sura kutoka sura ya baba had ya aunt makeup zifungiwe tu πView attachment 2345890
ππMpwa mbona ghaflaUsukumani we huondoki mpwa! πππ
Haswaaaaaaaaaah!!!!Unaenjoy mwenyewe
No stress [emoji23][emoji23]