Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Nipo shost 😂Salama jirani
Namtafuta rafiki yangu Depal umenionea wap
Ngoja kwanza nimalizane na voda
Airtime ya efu 30 na kwenye simu haijafika.. nimevurugwaaaa
Risiti naisoma mara elfu kuhakiki namba
Ni yenyewe
Majina ni yangu
Lakini Vodacom hawanifikishii hiyo hela

