Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Angetoa basi taarifa tujue hatakua hewani.
Hata ingekua ni wewe rafiki yako apotee ghafla af ni baada ya kupost picha yuko njiani ungepataje usingz kwa mfano.
Na saivi watu kila kona wanatekwa
Kweli kabisa taarifa muhimu. Usingizi utoke wapi kwa mfano? Depal uwe unatoa taarifa embu. Umpunguzie rafiki yako taharuki
 
Back
Top Bottom