Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Hahaha sawa usihofuTuma hapa tusafishe macho
Hahaha sawa usihofuTuma hapa tusafishe macho
Hahhhah [emoji23]
Eeh sasa Mtu anasema mzee wake ana face ngumu
Muda si mrefu mkuuMpendwa nasubiri picha yako.
Na weweWeeeh uyajenge na naniii
Nitake radhi mpendwa zangu naweka sanaWe kazi yako ni kusubiri za wenzako tu?
Emu acha hizo 😂
yna2 naitafuta hadi kuzimu siioni haha....irudisheNaifuta Sasa kaka ake.
UsijaliMuda si mrefu mkuu
Ila na Mimi nasubiri yako
Tokea siku nilipokunywa k vant kubwa nikaimaliza peke yangu alafu nizime,sitaki Tena kutumia pombe[emoji23]Mteja ni mfalmeView attachment 1256522
Aisee shida yako ni ule uwezo wa nguvu za mbali. Hii soda mteja anaichukua huku akiwa na wasiwasi mkubwa hahaaaMteja ni mfalmeView attachment 1256522
[emoji23] ndio,hasa ukizingatia kwamba juzi nilikuwa nachat WhatsApp na Mtu akanitumia sticker yenye sura ya huyo mzee,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo sura ya kwanza kukujia ni ya huyo mzee?? Umenikumbusha mbali!!
[emoji23]ndio,vipi mkuu nimekukumbusha wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo sura ya kwanza kukujia ni ya huyo mzee?? Umenikumbusha mbali!!
Imetoka hiyo..ikirudi pancha.yna2 naitafuta hadi kuzimu siioni haha....irudishe
[emoji23] ndio,hasa ukizingatia kwamba juzi nilikuwa nachat WhatsApp na Mtu akanitumia sticker yenye sura ya huyo mzee,
Vipi mkuu nimekukumbusha wapi
Ikirudi tutagharamia uzibaji wa hiyo pancha hahahImetoka hiyo..ikirudi pancha.
Emu zitupie kule hizo swaga na Mimi nioshe macho labda nitapenda 😂Kapenda swaga.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiweka fanya kuniita basi[emoji23]Nitake radhi mpendwa zangu naweka sana
Siku ya kwanza nimeagizwa hiyo soda si nikasikia nimeambia kalete Peter lemon 😂 kumbe ni bitter lemon.. [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]View attachment 1256536
Akiweka hapo ni ataweka ile chupa ya chang'aaUkiweka fanya kuniita basi[emoji23]