Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo dhambi siweziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila ni kazi nzuri sana.watu nikiwaambia natafuta kazi ya uhousegirl wanacheka,
Hawajui tu ilivyo nzuri.
Yani mie Achilia hawa micharuko mabinti walio Wengi huwa nakaa nao vizuri tunakua kama nduguu Wengi huwa wanaondoka wakipata wachumba na wakiondoka tunaendelea kuwasimilia vizuri tu na wao sikuhizi ndio wananitafutia HG wengine huko makwao! Kama huyu nilienae ni Mdogo wa damu wa binti mmoja aliondoka kuolewa baada ya kupata mchumba kutokea hapahapa! Sema huyu dogo ake sijui ana maruhanii sijui mapepoo ni anatokewa na maruweruwe hadi nimeogopa πŸ™ŒπŸ™Œ Siku ya kufungua naenda kumpandisha gari πŸ™ŒπŸ™Œ
 
saivi sitaki binti Mjomba Dogo Mmoja boarding.. Junia Shule wanatoka saa 11 mimi kazini cha asubuhi na mchana tunakula job! Setake tena ntajua mrashia atakaporudi!
Mie si mwanaume sasa Shangazi, hata kukulindia nyumba na mambo mengine madogo madogo nikusaidia utaangalia utachonilipa mie fresh tu πŸ˜€πŸ˜€
 
Ujue Shangazi, ma houseboy huwa tupo smart sana kuliko ma house girl. Hutojutia niambie nije nianze kazi sito kuangusha kabisa
Wewe ntakupa kazi za shamba site utakaa hukohuko kuna ka kibanda ka kurara mjomba Ukitaka kuwowa hukohuko niwewe tu! Tena Huku msimu wa kupanda umeanza mjomba wewe ndio utasimamia vibarua sasa!
 
Af jf hata haili bando sana, insta labda.
Ni wanatuibia tu hamna kingine
Ingia playstore u download app inaitwa glasswire, utafahamu kama unaibiwa, lakini simu huwa zina background process nyingi na zinakula bundle cause zinatuma na kupokea taarifa, pia kuna apps huwa zinajiupdate, kama una iphone ni kawaida kabisa bundle kutembea...

Wengine youtube video anatazama 1080p Saint Anne analalamika kaibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…