Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Hii kazi ya uhousegirl nipo mbioni kuitafuta..Yani tena nampa namjali kweli siku akienda kusalimia kwao namfungashia ma Zawadi kibao jamani!! Saivi setakee HG!
Na ukiwa mjanjamjanja hadi maza house unampiku🤣🤣!!Hii kazi ya uhousegirl nipo mbioni ya kuitafuta..
Ni kazi nzurii ajabu.
Nakula Bure,nalala bure,vitu napewa na badi napata mshahara.
Mimi usiku ninapolala huwa nasahau kuzima data maana unakuta naperuzi jf halafu usingizi unanichukua.Nilijiunga cha buku jero, hee hata sijatumia sana ghafla nashangaa kimeisha
Hiyo dhambi siwezi😂😂😂Na ukiwa mjanjamjanja hadi maza house unampiku🤣🤣!!
Yaani unajua hadi nikashangaa, ila sikukoma nikajiunga tena cha buku jero😂😂Ngoma ina survive masaa mawili 🤣
Wanalipeleka mbio mno aiseeNahisi bundle tunapigwa haiwezekani wote tupate maumivu
Najiuliza kinaishaje maana sanasana mimi ni jf tu aisee 🥺Voda cha mia5 hakipo..
Cha buku humalizi masaa ma5
Hahahaa basi wanaiba kwa style hyo.Mimi usiku ninapolala huwa nasahau kuzima data maana unakuta naperuzi jf halafu usingizi unanichukua.
Kuamka asubuhi wanaiambia umetumia asilimia 100 ya bando lako🥺
Wee kurara tena😳😳😳?? Namaanisha zile sharubu zako zilizokosa ushirikiano ulipost Ile siku umezinyoa Mjomba! Sio Mambo za kurara na kuamka bana!Mjomba kaisha lala, nipo kama kuku wa kisasa
Saivi kila engo ni wanapigaNahisi bundle tunapigwa haiwezekani wote tupate maumivu
Najiuliza Ina maana kuwa active jf kumekata bando langu lote la elfu2 jamani🥺Hahahaa basi wanaiba kwa style hyo.
Mimi data ndio hua sizimi, labda nisiwe na bando.
Watakua wananila sana
Hii nchi kila kitu ni upigaji tu😂😂😂😂💔Saivi kila engo ni wanapiga
Hii kazi kwanza mwili unajengeka vizuriii mawazo yanapungua 😁Hii kazi ya uhousegirl nipo mbioni kuitafuta..
Ni kazi nzurii ajabu.
Nakula Bure,nalala bure,vitu napewa na badi napata mshahara.
Af jf hata haili bando sana, insta labda.Najiuliza Ina maana kuwa active jf kumekata bando langu lote la elfu2 jamani🥺
Jf si nasikia haitumii sana bando😁😁Najiuliza Ina maana kuwa active jf kumekata bando langu lote la elfu2 jamani🥺
Adi tushazoea sasaHii nchi kila kitu ni upigaji tu😂😂😂😂💔
Yaani wewe ni vijikazi tu vya nyumbani,kula,kuangalia movie na kulala.Hii kazi kwanza mwili unajengeka vizuriii mawazo yanapungua 😁
Hapa tu nimetumia bando jf tu na nishafika aslimia 75.Jf si nasikia haitumii sana bando😁😁
Ngoja tuone mwisho wake ni nini.Adi tushazoea sasa
Ushirikiano upo Shangazi 😁😁😁Wee kurara tena😳😳😳?? Namaanisha zile sharubu zako zilizokosa ushirikiano ulipost Ile siku umezinyoa Mjomba! Sio Mambo za kurara na kuamka bana!