Aisee pole sana huyo anaweza hata akakuletea mwizi ndani.Mie nilimuweka chinii nikamuelekezaa.. bwana dogo maisha yanaenda hivi na vileee.. uzuri huku tulipo vyakula vya asili kibaooo nawaambia tu mkichoka kubadili viazi mihogo magimbi kuna ngano pikeni maandazi chapati au chochote mnachotaka ngano ipo ndani mayai telee nyie tu mpike za kumimina au laa! Siku wali ukibaki usiku sauwaaa nyie asubuhi kuleni hadi msazee!!
Hivohivo akawa Usiku anapimaa mwingii nikamwambia wee usintanieeee!!
Nikawa nafungia mafuta nampimia namwambia hayo wiki mbili dogo!!
Binti mwingine nikamleta si akapata kakijana kasela ka kujipigia weeee alininyoosha! Mie nikiwa kazini Msela anakuja kuanzia asubuhi anaondoka muda naokaribia Kurudi kazini...
Tukifunga nilikua namuacha hata mwezi au wiki 2 hivi nzima kumbe Ndiokwanzaaaa mwamba alikua anahamia kabisa as if wameoana hapo kwangu wanakula wanalala wanajiachia vyakutosha! Siku waakiamua kupikia hapo wanapikaaa wanakulaaa... wakiamua kupikia kwa mwamba Binti achota tu mavitu wanaenda kupika hukoo!
Sasa nikawa nashangaa Mbona vitu vinaisha mapema na mtu yuko pekeake how which where???
Au kama tupo ila Mbona sikuhizi vinawahi kuisha??? Siku nilisahau kitu nikarudi ghafla nilichokikuta[emoji134][emoji134]!!
Kama kawa. Leo nitakuwa nawaangalia tu maana mm ni alhamisiKwema
Niaje?
Leo EPl kunakucha
Mie sijawahi kuwapigia ngoja niwapigie aisee... nikiona hivo huwa naandika tu ONDOA kwenye yale manamba yao wanaota tuma ma meseji yao sasa nashangaa nikituma ONDOA wanajibu sijajiunga na huduma yoyote sasa najiuliza 200 zangu kila leo zaenda wapi?? Ngoja namie niwapigie waniambie zinaishia IG Wakati hata situmii!!Mimi walinikata vocha yangu.
Nimeweka elfu 2 ili niunge bando,nadhangaa 300 haipo...
Nikawapigia hakuna sababu ya maana walionipa.
Nikaona Hawa hawanijui.
Nikakopa na Wala sina mpango wa kuwalipa.
Atashangaa tu wamesafisha sebule nzimaπ€£π€£Aisee pole sana huyo anaweza hata akakuletea mwizi ndani.
Selfika na mm nikuangalieKama kawa. Leo nitakuwa nawaangalia tu maana mm ni alhamisi
Mimi nilijiondoa kwenye michezo yote na bado waliendelea kunikataMie sijawahi kuwapigia ngoja niwapigie aisee... nikiona hivo huwa naandika tu ONDOA kwenye yale manamba yao wanaota tuma ma meseji yao sasa nashangaa nikituma ONDOA wanajibu sijajiunga na huduma yoyote sasa najiuliza 200 zangu kila leo zaenda wapi?? Ngoja namie niwapigie waniambie zinaishia IG Wakati hata situmii!!
Voda cha mia5 hakipo..Sasahivi narudi tenaekuunga bando la miatano..heri niweke kila siku.
Nahisi bundle tunapigwa haiwezekani wote tupate maumivuWengine wanatuma eti ndugu mteja,utajutaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hatari mimi dada wa kazi nilishakataa kwanza ni mkali nahisi sitakaa nae hata weekAtashangaa tu wamesafisha sebule nzimaπ€£π€£
Na vile watoto wake wadogo,hawaelewi chochote maskini
Alishaondoka Hahaha! Mwamba mwenyewe alikua mume wa mtu huko katelekeza familia mke na watoto watatu! Siku nimerudi mkewe kaja kunilalamikia! Ukute nilikua nalisha nahio family yahuyo kwamba manina zake yule binti alijua kuninyoosha!Unalea binti na kashkaji kake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174][emoji174]
Yani Saivi namie sitaki tena hekaheka za Binti wa kaziii sitakii kabisa!Aisee pole sana huyo anaweza hata akakuletea mwizi ndani.
Na mshahara unamlipa.Alishaondoka Hahaha! Mwamba mwenyewe alikua mume wa mtu huko katelekeza familia mke na watoto watatu! Siku nimerudi mkewe kaja kunilalamikia! Ukute nilikua nalisha nahio family yahuyo kwamba manina zake yule binti alijua kuninyoosha!
Nilijiunga cha buku jero, hee hata sijatumia sana ghafla nashangaa kimeishaVoda cha mia5 hakipo..
Cha buku humalizi masaa ma5
Nichukue mie niwe mkaka wa kazi nikusaidie saidie majukumu ya ndani na nje ππYani Saivi namie sitaki tena hekaheka za Binti wa kaziii sitakii kabisa!
Mimi mwenyewe huwa nasema nikiwa na kwangu sitaki housigeli..Hatari mimi dada wa kazi nilishakataa kwanza ni mkali nahisi sitakaa nae hata week
Yani tena nampa namjali kweli siku akienda kusalimia kwao namfungashia ma Zawadi kibao jamani!! Saivi setakee HG!Na mshahara unamlipa.
De boss ledi unalisha familia ya njeππ
Mimi huwa nasema hakuna kazi nzuri kama uhiusegirl.
Kila kitu unapata Bure na mshahara wako haulipi Kodi.
Kaa kwa kutulia π€£π€£Selfika na mm nikuangalie
Drama zako peleka kwa wazungu wa zeze π hapq ni uselfikeKaa kwa kutulia π€£π€£
Ngoma ina survive masaa mawili π€£Nilijiunga cha buku jero, hee hata sijatumia sana ghafla nashangaa kimeisha
saivi sitaki binti Mjomba Dogo Mmoja boarding.. Junia Shule wanatoka saa 11 mimi kazini cha asubuhi na mchana tunakula job! Setake tena ntajua mrashia atakaporudi!Nichukue mie niwe mkaka wa kazi nikusaidie saidie majukumu ya ndani na nje ππ