Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Huyu naye anamimina ..yaani nyama zinaoga kwenye mafuta kama zipo mtoni ila mara mia amwage dada kuliko hawa wapuuzi wamesonga mafuta yote ya elfu 37🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Tena umenikumbusha Hebu niongee na walimu wanaorudi likizo wanipitie mafuta huko singida walau dumu 2!
Hapo bado dadaa wa Kazi hajamimina kama yanaokotwa tu jamani uwiiiii!!
Weeee labda mwezi wa mchongo😂😂😂😂Siku hiyo nilikuwa nimechoka kujiunga kila siku bwana nikajilipua aiseee eti mwenzi ya kwiooo😁😁
😂😂😂😂😂💔💔Ya mia tano unatumia kwa masaa 3 si masaa24 kama wanavyoandika😁😁😁
Tusio na hela ndio tunateseka zaidi😂💔Kiujumla bei ya vitu iko juu hatari Regardless una hela au hauna!
Shida ya bando linakataa ama unaandika kitu muhimu au unatazama kitu yaani wana mbinu hawa .....😂😂😂😂😂💔💔
Naunga za bukubuku
Angalau hazistui sana
🤗👋👋🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Tena umenikumbusha Hebu niongee na walimu wanaorudi likizo wanipitie mafuta huko singida walau dumu 2!
Hapo bado dadaa wa Kazi hajamimina kama yanaokotwa tu jamani uwiiiii!!
jaribu nakwambiaNisije pata magonjwa ya moyo na elfu ishirini yangu💔😂😂😂
Mie sasa huyu binti Yangu wa kazi na kina junia ni wanataka wali kila leoooo asubuhi mchana jioniii huwaambii ugali ni wali tu hawana mdaaaa!! Huku niliko uliza bei ya mchele sasa!! 🙌🙌🙌🙌Halafu Kuna Hawa wanaitwa Malaika wa Mungu wamesonga Lita tano ya sandrop na unga ndoo nzima hakiyanani💔😂😂😂😂
Mie Sijambo mjomba Shikamoo!!😉
Shida sio kuwa na pesa hata nawe unazo shida unaweka bando halikaii buku ina nguvu kwa maana kwa mwezi ni 30000 imekatika😬😁😁Tusio na hela ndio tunateseka zaidi😂💔
Heee kumbe hadi uko ni wapigajiUnawajua voda? The rest wakasome
Marahabaaa shangazi 😁😁😁 Nafurahi kusikia haujamboMie Sijambo mjomba Shikamoo!!😉
Selfika basi mjomba wangu memis kuona zile uzoshevu mjomba!!😉Marahabaaa shangazi 😁😁😁 Nafurahi kusikia haujambo
Hakuna kwenye unafuu labda huko wanakosema VPN ya bure sijui!Heee kumbe hadi uko ni wapigaji
Kweli bado ni yaleyale tu😂💔💔💔💔Shida sio kuwa na pesa hata nawe unazo shida unaweka bando halikaii buku ina nguvu kwa maana kwa mwezi ni 30000 imekatika😬😁😁
Hakuna kwenye unafuu labda huko wanakosema VPN ya bure sijui!
Nako wanasema inaharibu battery.Hakuna kwenye unafuu labda huko wanakosema VPN ya bure sijui!
Voda ni washenzi sana😂Unawajua voda? The rest wakasome