Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
Na siku zote udhaifu haupo pale kuonesha namna gani tusivyo weza, bali upo pale kutuonesha namna gani tuna muhitaji Mungu. Udhaifu mkubwaa deep intimacy na Mungu. Woote una waona walio kuwa na ukaribu na Mungu ni watu ambao wana madhaifu makubwa ukisimuliwa unaweza kulia, kuna watu wa Mungu wapo vizuri ila wana miiba, wakicheza kidogo tu wanaanguka, hayo mazingira yana wapush kila mda kumtafuta Mungu na matokeo yake wanakuwa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Unapiga mule mule Baba Mchungaji. Wakati mwingine madhaifu yetu yanatukunguwaza sana mpaka tunashindwa kuishi maisha na destiny tuliyopangiwa na Mungu. Mpaka tunatafuta visingizio maana mara nyingi destiny zetu zinaambatana na mapito yaliyojaa hekaheka.

Inahitaji maono na kufunuliwa sana ili kutambua kwamba nguvu zetu halisi zimo katika udhaifu wetu.

Endelea kubarikiwa!
 
Daaah, mwamba leo umeshukiwa na Roho Wa Bwana....
 
Kuna siku Pasta alisema unadhani ungekuwa mkamilifu Kwa kila kitu,ungepata muda wa kumtafuta Mungu??

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ