Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,836
The Apostle was real. Pengine ni kwa sababu ya historia yake mwenyewe lakini barua zake nyingi ziko personal sana and he wasn't shy to be vulnerable.Kuna kitu nilikuwa najifanyia tafiti. Nini nisipo fanya napoteza nguvu na nini nikifanya napata nguvu. Kila mtu ana namna yake pekee yake ( hatupo sawa hata kidogo ). Wengine wanakuwa na nguvu kupitia weakness, wengine wanakuwa na nguvu kupitia strength zao. Baada ya mda mrefu nikaja kuona nguvu zangu zipo katika madhaifu yangu, na sio katika strength zangu. Kipindi flani nilikuwa nikikwama katika nadhaifu yangu nilikuwa nakata tamaa, ila siku hizi kupitia madhaifu yangu napata nguvu zaidi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Apostle Paul , alikuwa na mwiba ( udhaifu ) ulio mpush kuwa karibu na Mungu mda mwingi kwasababu ulikuwa unamtesa na hata kutaka kudhoofisha juhudu zake, kumbe katika kufight na udhaifu ni kuwa karibu zaidi na Mungu kwake maana. Kuna watu breakthrough zao zipo katika madhaifu yao na sio streght zao
ππππ. Udhaifu upo pale kutufanya kuwa karibu na Mungu sio mbali na Mungu. Nitamtukuza Mungu kupitia madhaifu yangu, ataonekana Mungu kupitia madhaifu yangu.The Apostle was real. Pengine ni kwa sababu ya historia yake mwenyewe lakini barua zake nyingi ziko personal sana and he wasn't shy to be vulnerable.
Ulichogundua ni kitu cha msingi mno maana mara nyingi Mungu hupita mule mule kwenye madhaifu, majaribu na hata maanguko yetu katika kutuimarisha. We will never become diamonds in Christ without going through the intense heat and pressures of life. Wengi huwa tunalia na kuhangaika sana tunapokuwa katika kilele cha udhaifu na majaribu kumbe nguvu zetu na ushindi vimo humo humo.
Asante kwa kushea utafiti wako. It is real life changing! [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2337656
Gilasi taraa duh[emoji849]kistaaa glass moja kimoko glass mbili vibee glass tatu vitatuu [emoji51][emoji51][emoji51]
Amen ππΏππΏππΏππππ. Udhaifu upo pale kutufanya kuwa karibu na Mungu sio mbali na Mungu. Nitamtukuza Mungu kupitia madhaifu yangu, ataonekana Mungu kupitia madhaifu yangu.
Kuachia za mkono ndio huwezi[emoji2]Saint Anne nitafutie msuko mzuri simpo wa kusuka mdogo wangu nataka nifumue hizi!
Sukari sikatai π€π€Nilitaka nikuaguzia tani kadhaa kutoka india , basi niache sasa πππ
Ndio zile yebo nenenene zimeachia kidogo??Kuachia za mkono ndio huwezi[emoji2]
Suka Yebo fasta
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Vitu tam tam
NdiyoNdio zile yebo nenenene zimeachia kidogo??
Tumwagilie moyo.Vitu tam tam
Nadhani ndio madhaifu yako
Nywele Zangu sijaweka dawa zitapendeza kwelii???
Zinapendeza vizuri..Nywele Zangu sijaweka dawa zitapendeza kwelii???
Poapoa ngoja nikasuke hizo ila mikia naweka mirefuuuuu afu minene halafu huwa zinanipendeza pia! Sijajua huyu msusi sasa!!π
EwaaaPoapoa ngoja nikasuke hizo ila mikia naweka mirefuuuuu afu minene halafu huwa zinanipendeza pia! Sijajua huyu msusi sasa!!π
πππ Nime bet hapa subiri mkeka u tick nkutumie kwenye account yako, ulipie hiyo nzuri sanaaa inafaa kukaa pale kwenye mgahawa wetu
Poapoa Asante... ntaleta mrejesho πβοΈEwaaa
Ni wewe tu..
Aitengeneze vizuri iwe minene
Masaa yana zungumza toka alipost glass ya kimoko, ila vijana wa dar tupo wazembe, mtu anapat wapi mda wa kuchukua hadi ka selfi na ku ka post πππ namashaka hajaungisha vitaraaaGilasi taraa duh[emoji849]
Baada ya shuhuli
Usingizi
Lakini big boy anayo nguvu ya vitaraa[emoji1787][emoji848]