Raha jipe mwenyeweeeππWeeeee watu wana rahaaa jamani πππ
Shindwaaaaaπ€£π€£π€£π€£kila glass kamoja πππ¬π¬
SijamboMarahabaa
Sema akirudi itabidi tumwambie next time asipotee bila taarifaMasafa gani jamani siku zote hizo!! Akitimiza miezi mi3 email itawafata ubalozi wa .. waniambie mshikaji wangu aliko ππ
Nipo namcheck Mwamposa hapaLeo naona una upako
Wacha leo nikae kimya
Niwe msomaji zaidi
mmemaliza mapemaaa π¬π¬π¬Shindwaaaaaπ€£π€£π€£π€£
Glass ya 3 sasaπmmemaliza mapemaaa π¬π¬π¬
Dah!.. kuna watu wanafaidi sana
π€£π€£π€£π€£ππππ kama cha jana? Nikiwa mkubwa nitakuwa na akili timamu π€Έπ»ββοΈ
Channel gani?Karibu tumuangalie Mwamposa
Jamaa kuna namna anafanya kuboost imani View attachment 2337605
kistaaa glass moja kimoko glass mbili vibee glass tatu vitatuu π¬π¬π¬Glass ya 3 sasaπ
Mungu ni mwema,alisharuhusiwa.Mgonjwa kisharuhusiwa[emoji848]
Channel yake ya Arise and ShineChannel gani?
Nitambonda na minenoSema akirudi itabidi tumwambie next time asipotee bila taarifa
π€£π€£π€£kistaaa glass moja kimoko glass mbili vibee glass tatu vitatuu π¬π¬π¬
Ushafika,ushaoga,ushakula,ushalala,