National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
aaah! kile muhimu maisha yapo tu na kutafuta hakujawai kuisha mkuu πππ.. hapo umekitupa mmewekeana miguu juu ya mapaja mnaanza kuota ndoto za part 2We jamaa aseeπ π ..wengine wanaamka saa kumi usiku kwenda kupambana
Cha asubuhi ni Kwa wenye uhakika wa maisha tu,au nasema uongo Chakorii ?
Kinakuwaga kitamuCha asubuhi[emoji51][emoji51]
Ndio ninimbona mapema, cha asubuhi hakipo ? maana tujuavyo kile kina kurudisha on bed ππ
Mdomo koma [emoji40][emoji40]Niolewe mara ngapi Wige huyo Ndugu yangu!!
we mtu mzima bwana ujui cha asubuhi πππNdio nini
πππ kitamu hadi kisogoni.. kina mikao yake.. wakubwa wana enjoyKinakuwaga kitamu
Halafu kinaleta usingizi sasa
Kuna kitu nimejifunza unaweza ukawa tajiri kwa hizi kamari siku moja tu πππ nimefungua account online hapa napambana nao πππ hadi kielewekaKinakuwaga kitamu
Halafu kinaleta usingizi sasa
Imetatukia wapi πHii ni tungo tata
Embu selfika basi dimpoz jana c mmeshinda!Imetatukia wapi π
Watu wengi mnanenepa mkifika 30s ππNilipokua kijana
Achana na mimiEmbu selfika basi dimpoz jana c mmeshinda!
NakuaminiaKuna kitu nimejifunza unaweza ukawa tajiri kwa hizi kamari siku moja tu [emoji3][emoji3][emoji3] nimefungua account online hapa napambana nao [emoji16][emoji16][emoji16] hadi kieleweka
Wananila tu ila ipo siku yao watalia, nasoma mchezo tu hapa... hadi nimebaki na 200 πππ ila najua nitazirudisha zoote siku si nyingiNakuaminia
Ulikua so muuuahhhπ€©!Nilipokua kijana