Selfika na JF: Snap it. Show it

Tugoli tuchache tu. Tena wamewafunga na nyie mnasumbua.

Mngeshinda 9 Kwa nunge kama sisi timu ya dunia,si mngewehuka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] team ya Dunia ambayo Manyua aliwachozyaaa hadi baas.

MCFC muiacheeeee, team la Makombeee team la back to back.

Team la game changer, woyooooooooooooo!!!!!

Haaland!!!!!!!!!!!! Mr hat trick. Yu know???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nitandike kitanda nilale

Natuma hadi voice note,, au msauti unakwaruza ndio anaona shida kujibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Ndio unamboa zaidi

Kisa cha kufosi mambo hivyo ni nini labda. Weee kwani ukimute usingz hauji au
Em lala acha uchinga
 
Acha dhulma bhas

Lile lile

Usijitoe ufahamu bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata cjui chochote, na venye mambo mengi kichwani, bas tafrani tupuuu, woiiiiiih.

Labda urudie kunambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…