Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimemuambia ajue ana deal na situation ipi, kwani vibaya kumuambia ukweli?

Kwani vibaya kumuambia ana flirt na gay na watu wakimuenjoy...? Kwani mtu akichagua maisha yake kuwa shoga ni tusi kumuita shoga?

Niambie basi wapi nimekosa busara...
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Anajisemea mamdo mdomo komaaa🀭🀭
Tuendelee kuselfika mazee mambo yake tumuachie mwenyewe!!
 
Nimetoa maoni yangu tu kutokana na hio komenti mkuu usinifokee ! mbaya hapa ni kuongelea personal life ya mtu as if wewe ndie unamjuaaa kuliko ajijuavyo!
Maoni yako sio maoni yake au .. ikishakuwa yako ni yako na ikishakuwa ya kwingine ni mwingine. Why umekujaa juu sana huku mwenyewe haja respond ? au unatete nini mkuu
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Anajisemea mamdo mdomo komaaa🀭🀭
Tuendelee kuselfika mazee mambo yake tumuachie mwenyewe!!
Ungeniachia mambo yangu/yake mwenyewe hukupaswa kuja kuniambia sina busara, next time jaribu kuwaachia watu mambo yao wenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…