Nimepita mara moja tu kuwajulia hali wapendwa wangu muwe na siku njema!!Karibu boss lady
Ule mti una Ugomvi na mimi.Kwa kweli ukienda msimu ujao unikumbuke tu[emoji23][emoji23]
Nzuri kabisa bosi ledi; za wewe na familia?Mama pasta Heaven Sent habari za uzima!!
Igwweeeeeeeehhh leo at least umeachia sura nkamu ✌️✌️✌️mama pasta Heaven Sent unapitwaaaaa hukuuuHeaven Sent
Njoo uhesabiwe
Weee nilikuwa narefresh page; nikapose kidole baada ya kuionaIgwweeeeeeeehhh leo at least umeachia sura kidogo [emoji3577][emoji3577][emoji3577]mama pasta Heaven Sent unapitwaaaaa hukuuu
Alikosea timing.Duuuh mi wanaopika wameenda likizo na nyumba iko vurururu.
Nilikuwepo on time. Sijapitwa Mr mawani[emoji23][emoji23]
Mungu ni mwema sana mama pasta mimi na familia yangu tuko poa na tumeshahesabiwa !Nzuri kabisa bosi ledi; za wewe na familia?
😂😂😂Huyu karani ameiba shati langu
Yaani kuna rafiki yangu kwao W🙆wana kale ka mti kafupi kanazaa kama ugomvi; maparachichi yake madogo madogo kama yana upele; ni matamuuuuu. Niliupanda hapa; ninavyouangalia Kila siku 😂😂Ule mti una Ugomvi na mimi.
Nikienda nakuta mateta.
Hayo ya kisasa miaka mitatu tu yaanza kuzaaYaani kuna rafiki yangu kwao W🙆wana kale ka mti kafupi kanazaa kama ugomvi; maparachichi yake madogo madogo kama yana upele; ni matamuuuuu. Niliupanda hapa; ninavyouangalia Kila siku 😂😂
Jamani kwa hiyo sisi huku ndiyo hatujasensabika bado?Mungu ni mwema sana mama pasta mimi na familia yangu tuko poa na tumeshahesabiwa !
Msijareee siku bado Watapita tu !Jamani kwa hiyo sisi huku ndiyo hatujasensabika bado?
Subirini 2032[emoji1787]Jamani kwa hiyo sisi huku ndiyo hatujasensabika bado?
Ninauhakika kabisa sihitaji wala🤣Kwanza akupe tu PDF lote🤣
Utachambua
Labda kama mnaniletea mchumba hapo sawa😎Upende usipende utachukua
Wikii ni karani 😁😁Nilikuwepo on time. Sijapitwa Mr mawani[emoji23][emoji23]