myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Salama jirani, sijui wewe..Jirani umeshindaje
Salama jirani, sijui wewe..Jirani umeshindaje
Huku kwema jirani.Salama jirani, sijui wewe..
Nilihesabiwa jirani, kama pesa😁Huku kwema jirani.
Umefanikiwa kuhesabiwa?
NnAisee
Hujambo,
I’m goodHujambo,
Watakuja kesho..Hawajanihesabu leo? Ndio hawanipati tena …
Kesho sipo… kwani tulipewa mapumziko siku zote?Watakuja kesho..
Utahesabiwa bila mwenyewe kuwepo😁😁Kesho sipo… kwani tulipewa mapumziko siku zote?
Hongera jirani, huku badoNilihesabiwa jirani, kama pesa😁
WachaaaUtelezi![]()
Labda watahesabu kesho..Hongera jirani, huku bado
Mh!!....Utelezi 😔
Watapata wrong info..Utahesabiwa bila mwenyewe kuwepo😁😁
Jirani 😂😂😂😂 miguno ya nini?Mh!!....
Mko wangapi hapo kwenu?Watapata wrong info..
Mtoto wa mama mkwe aoneNimekuchagua wewe
Uwe wangu
Wangu wa maisha
Wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno ya watu
Wasemayoo
Yaliyopita si ndwele
Tugange yanayokuja😍
7Mko wangapi hapo kwenu?
Lile neno lile jirani..mh!Jirani 😂😂😂😂 miguno ya nini?