Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
NaamAcha leo muone tabia kama ipoView attachment 2332649
NaamAcha leo muone tabia kama ipoView attachment 2332649
Nitaacha info, maana sitakuwepoLabda watahesabu kesho..
Jirani umewazaje? Jirani leo mvua imenyesha sana, utelezi mwingi njianiLile neno lile jirani..mh!
Wanaume wangapi na wanawake wangapi, wanawake pisi kali wangapi?
Wanawake pisi kali wa3Wanaume wangapi na wanawake wangapi, wanawake pisi kali wangapi?
Hapo kwenye utelezi hapo, ndipo tuangukapo.Jirani umewazaje? Jirani leo mvua imenyesha sana, utelezi mwingi njiani
Akipita ataona😂Mtoto wa mama mkwe aone
Unakubalije kuanguka?Hapo kwenye utelezi hapo, ndipo tuangukapo.
Nitumie namba jirani nikamilishe uhesabuji..Wanawake pisi kali wa3
Mmoja shangazi
Wanaume wa 3
Kaa hapo hapo zinakujaNitumie namba jirani nikamilishe uhesabuji..
Utelezi sio mchezo jirani..Unakubalije kuanguka?
Sensa inaendelea jirani..Nasinzia 💤
Gauge ya mafuta dada 🤸🏻♀️Baada ya kusubiri watu wa sensa na wasitokee nikazurule sasa, Na Dodoma kulivyo kijijini sasa🙌🏿
KhaaaSensa inaendelea jirani..
Gauge ya mafuta dada![]()
😁😁Khaaa
Hadi usiku?
Shangazi jauWanawake pisi kali wa3
Mmoja shangazi
Wanaume wa 3


Nipo mie ShangaziShangazi jau
Hakuna Aunt![]()