Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtu kaweka uzi dstv wanapandisha vifurushi

Ig dstv wakasema watu tupuuze tangazo

Mm nikaenda comment kwa ule uzi kuwa ufutwe, dstv wameshakanusha hiyo taarifa… sasa ile comment ikapindika ikawa uzi
Wanapandisha kweli, nilikua naangalia tv usiku huu wakaweka ujumbe wa mabadiliko ya bei, kwa maelezo zaidi tutembelee website yao
 
Back
Top Bottom