Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,857
SA alinambia vanilla kijiko k1, ujue yai linashombo sana 😂Inatosha D,si unatengeneza kwa robo au unataka likubwaaaa[emoji23]
Mimi hata chips yai nikikuta tu ina ute ndani haikukauka vizuri, siwezi endelea kula