Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzima umeadimika ndio ulikuwa busy kumalizia ghetto lakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚msimu wa baridi kbla haujaisha🀣
Ah wapi bwana kuna varangati lilitokea na wife basi sii unajua tena lazima uweke mambo sawa. Shem ajambo?
 
Wanasema usiitaje New York ukamshirikisha Alicia Keys, Kanye is the GOAT...Man U fans msiache kumwagia moyo...ipo hivi mimi man u akiipiga Arsenal, Liverpool na City Moyo wangu unasuuzika sana, yani hawa ni maadui wangu...Sema hii ngoma Fivio Foreign kaitendea haki, siwezi kuchagua mbabe ila kanye ni KANYE the GOAT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…