myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
2-0Wasi wasi umeanza kunishika
Chesiii yangu mm jamani π
Refa leo ni Stuart
Kama hana undugu na Antony sijui ππ na venye tuko ugeniniπ
Starehe niliyoichagua hii
Lenie
Nilikua bize sis haya nipo hapa nibariki pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!πHi ccy nmekusubili sana hatimae[emoji8][emoji8][emoji8]
Ushaolewa?Subiri bwana angu anipe jezi ya Arsenal
Poleni na kichapoUkizipata nigawieeeeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Emu kaa kandoPoleni na kichapo
Ni ndani ya dk 45
[emoji1787][emoji1787]
Bado kidogoUshaolewa?
Mwenye ki taqoMashauzii yamemuua Mendy[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] njoeeni mnichekee
Chaliifrancisco
Mbona ulisema sio kivile?πββοΈπββοΈBado kidogo
Okay. Kumbe bado naweza kuwa na nafasi.Bado kidogo
Ninae mchumbaMbona ulisema sio kivile?πββοΈπββοΈ
Msalimie OllaChuga OcNgoja nikatafute watu wenye makasiriko kule page la chesiiππππ
Unakwama wap sasa kwa mfano. Changamkia fursa hiyoNinae mchumba
Nikitulia tu ananiwowa
Amenipa masharti
Bado sijayatimiza π€Έπ»ββοΈ
Mie kwenye vocha ntaenda kupambana na Bossi wangu mdogo wangu kugombania siwezi! Tuseme tu leo imekula kwako mazima πππ€£π€£π€π€π€π€!!Nipo kakaa popcorn kama zoteee! ngoja nimstue na sis Antonnia kabisa
[emoji1787]Ninae mchumba
Nikitulia tu ananiwowa
Amenipa masharti
Bado sijayatimiza [emoji2224]
BanaaaaMsalimie OllaChuga Oc
ππππ NajitahidiUnakwama wap sasa kwa mfano. Changamkia fursa hiyo
Mmxxxxxxxxxxxxxxiiiieeewwww[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]!!Mie kwenye vocha ntaenda kupambana na Bossi wangu mdogo wangu kugombania siwezi! Tuseme tu leo imekula kwako mazima [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!
Unatia huruma na kunichekesha sana nikisoma mbwembwe zako Hapo juu[emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!
Sasa unacheka nini?[emoji1787]