Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,587
- 81,561
Ila huyo dogo Aaronson anapambana sana kila mahali yupo hachoki kukimbia. Amestahili kupata hilo goli kwa jinsi anavyo press vizuri.Mashauzii yamemua Mendy😂🤣🤣🤣🤣 njoeeni mnichekee
Chaliifrancisco
Ndio game liishe hivi? Haki Mendy atalaumiwaaaIla huyo dogo Aaronson anapambana sana kila mahali yupo hachoki kukimbia. Amestahili kupata hilo goli kwa jinsi anavyo press vizuri.
Hamna. Bado game mbichi sana hii. Kuna goli za kutosha hapa. Anaeshinda sijui nani lakini.Ndio game liishe hivi? Haki Mendy atalaumiwaaa
Piga haoooo🤣🤣🤣Ndio game liishe hivi? Haki Mendy atalaumiwaaa
Maneno yoteee haya na ukaambulia patupu 🤣😂😂😂🤣🤣😂😂🤭🤭!!Nipo kakaa popcorn kama zoteee! ngoja nimstue na sis Antonnia kabisa
Acha basi gemu bado mbichi hii. Vuta subira bhana 🤣🤣Emu nikaoshe vyombo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mendiiii 🚮🚮🚮
Helloowww mamyyy!!✋Hi ccy
Hamna ile imepigwa kichwa na RodrigoNgoja kwanza… Mbona ni kama Reece kainyoosha yeye?
Niache tu nikaoshe vyombo 😂😂😂😂😂Acha basi gemu bado mbichi hii. Vuta subira bhana 🤣🤣
Sirudiii hadi unipe vocha labda!! Nilishakuwekea ukajifanya Uko bizee!!Nimeacha nimeacha sis mie sikuweziiiii [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Huchelewi kunivia nguo mtu mzima nikaaibika hapa;[emoji6]
Haya nimerudi ulosema utaweka ikwapi??
Nimeanza kuchokozwa wasap 😂😂😂😂Hamna ile imepigwa kichwa na Rodrigo
Relaaaaax. Yule ni RodrigoNgoja kwanza… Mbona ni kama Reece kainyoosha yeye?
Karibu tushike bunduki depal achana na hao vidampaEmu nikaoshe vyombo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mendiiii [emoji706][emoji706][emoji706]
Hii ndio premier league. Chochote kinaweza kutokea. Game bado sana hii.Nimeanza kuchokozwa wasap 😂😂😂😂
Subiri bwana angu anipe jezi ya ArsenalKaribu tushike bunduki depal achana na hao vidampa