Ndio breakfast hyo?Njoo ulambe Lenie View attachment 2330171
Anza basi mbona nimalize kabisaaa!Good morning..
Wekeni picha niwaone japo sura
"oa/olewa na mtu unayejua historia yake"Nakupinga.
Ndio nipo mtandaoni na ninafaa kuwa mke,
Lkn mitandaoni wengi ni waigizaji ndugu ukijichanganya utajiona mkosaji kila siku,
Wema wapo na wabaya ni wengi sana humu mitandaoni,,
Hivyo,oa olewa na mtu ambae unajua historia yake na ukoo wake,
Already called it a morning ☕️Ndio breakfast hyo?
Daah wa kishua unafaidi
Me nishapiga uporo na chai
Hatari lakini salama"oa/olewa na mtu unayejua historia yake"
Mkuu unaishi enzi ya ujima Sana,enzi zile familia Fulani inaochunguza familia Fulani kisha inakaa na mtoto wao na kumwambia Ile familia/ukoo wako vizuri Sana,wanalima,siyo wavivu na pia hawana roho mbaya
Hivi Zama hizi mfano Mimi nipo ndy nafanya mishe zangu huko mwanza na kwetu ni Morogoro unadhani nitarudi Moro kuoa? Mke /mume mara nyingi anapatikana pale unapoishi/fanya kazi..Zama za kurudi vijijini kwenda kutafuta mke zimepitwa na wakati
Unaishi nyuma ya muda mawardat!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Already called it a morning ☕️
Uporo naupata wapi? Ulipikwa na nani 🤣🤣🤣
Aya ya mwanzo umesound kama mzee wa enzi za uhuru."oa/olewa na mtu unayejua historia yake"
Mkuu unaishi enzi ya ujima Sana,enzi zile familia Fulani inaochunguza familia Fulani kisha inakaa na mtoto wao na kumwambia Ile familia/ukoo wako vizuri Sana,wanalima,siyo wavivu na pia hawana roho mbaya
Hivi Zama hizi mfano Mimi nipo ndy nafanya mishe zangu huko mwanza na kwetu ni Morogoro unadhani nitarudi Moro kuoa? Mke /mume mara nyingi anapatikana pale unapoishi/fanya kazi..Zama za kurudi vijijini kwenda kutafuta mke zimepitwa na wakati
Unaishi nyuma ya muda mawardat!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Habari za J2 jiraniSalam kwenu wadau
Kila mmoja na maono yake. Hakuna cha ujima wala bla bla nyingi."oa/olewa na mtu unayejua historia yake"
Mkuu unaishi enzi ya ujima Sana,enzi zile familia Fulani inaochunguza familia Fulani kisha inakaa na mtoto wao na kumwambia Ile familia/ukoo wako vizuri Sana,wanalima,siyo wavivu na pia hawana roho mbaya
Hivi Zama hizi mfano Mimi nipo ndy nafanya mishe zangu huko mwanza na kwetu ni Morogoro unadhani nitarudi Moro kuoa? Mke /mume mara nyingi anapatikana pale unapoishi/fanya kazi..Zama za kurudi vijijini kwenda kutafuta mke zimepitwa na wakati
Unaishi nyuma ya muda mawardat!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hujambo jirani😂😂🚮🚮
Uloho uliwajaa 😂😂
Koneksheni za nini?
Salama jirani, jumapili inaendaje.Habari za J2 jirani
Iko njema kabisa jirani, hali ya hewa nzuri na ya kuvutiaSalama jirani, jumapili inaendaje.
Sawa jirani, iwe siku ya baraka kwako.Iko njema kabisa jirani, hali ya hewa nzuri na ya kuvutia
Sijambo, shikamoo jiraniHujambo jirani
Basi kwetu bado ipo hivyo,siwezi tu kubebana na mtu fb nimpeleke kwetu"oa/olewa na mtu unayejua historia yake"
Mkuu unaishi enzi ya ujima Sana,enzi zile familia Fulani inaochunguza familia Fulani kisha inakaa na mtoto wao na kumwambia Ile familia/ukoo wako vizuri Sana,wanalima,siyo wavivu na pia hawana roho mbaya
Hivi Zama hizi mfano Mimi nipo ndy nafanya mishe zangu huko mwanza na kwetu ni Morogoro unadhani nitarudi Moro kuoa? Mke /mume mara nyingi anapatikana pale unapoishi/fanya kazi..Zama za kurudi vijijini kwenda kutafuta mke zimepitwa na wakati
Unaishi nyuma ya muda mawardat!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mwenzio sijui hata wanaopoaje humuNikajua nawe umeopoa humu sasa umepigwa pini usichat na wadada wa huku.
Usipotee tena, uwepo wako ni muhimu sana humu
Mungu Ananiona kila siku !!Hio kauli inaonekana Imewachoma sana eehh!!! Kwani ni kweli mmekatazwa??? Mbona mnaichukulia siriaz ivo jomoneee!!!! Poleni bana naona imewaingia inawachoma hadi kunakooo!!Mimi mzima sn madam lenie
Sasa tutakuwa pamoja,nilikuwa bize kidogo,Ingawa kuna mtu huko juu alisema wengine tumekatazwa kuingia jf tumeshapata wachumba.. Surbi MUNGU anakuona