Mimi juzi nimejaribu ikatoa uji ule sikjuiπππ.hangaika weee lakini wapi.. nikarudi kwenye mkaa.
Hivi vi oven navyo vinadhalilisha watu,hasa mimi niliyekulia kijijini.
Nimetumia blue band robo,sukari robo,mayai 7 na unga nusu
Ukitaka iwe sponge sana kama hiyo unaweza kuongeza mayai...
Changanya sukari na blue band,
Anza kuweka yai Moja Moja huku unakoroga
Weka baking powder..
Nimetumia limao kuondoa harufu(unaweza tumia vanilla)
Baadaye unga.