Hiii mida uliyokujaJuzi, jana na leo🥰🥰🥰
Tutaendelea kukumiss hadi baasiii
Jiselfishe basi mama mchungaji
Hiii mida uliyokujaJuzi, jana na leo🥰🥰🥰
Wapotevu mnakuja midaMiss you mingi mingi
Thank you .
💗🙏My prayer for you today:
May you receive good news about something your waiting for. May you be blessed in every area of your life. Jr![]()
Kule wasap mtu akipotea, siku akirudi anarudi na mtoto mchanga 😂😂😂Nipo Kaka , mambo mengi
Hakuna wa kunificha
I couldn't agree more. 👏one of the very overrated food 🤣🤣🤣
😂😂 weeeI couldn't agree more. 👏
Aisee....
HatutakiSalam kwenu wadau..
😂😂😂😂 jirani ni kweliAisee....
Hujambo jirani
Hiyo ya soseji umenikumbusha ndugu yangu flani alikua hajawah kuziona, hyo siku kaenda kwa babe wake akawa anatafuta kitu cha kula kupekua kwa fridge akakuta soseji akawa anazishangaa akasema ale tu hizo hizo maana njaa ilimkamata, akaing'ata akakutana na ladha mbayaa kumbe aliila mbichi🤣🤣🤣😂😂 weee
Sishangai lakini… me soseji nazila sana,, na kuna rafiki angu hali soseji kabisaa
Yan sijui anapataga mawazo gani akiziona 🤣🤣
Pizza na uyoga mie siwezi kula 😂😂
Jirani uhali ganiSalam kwenu wadau..
Na huyo mtu ni wewe 😂😂😂Hiyo ya soseji umenikumbusha ndugu yangu flani alikua hajawah kuziona, hyo siku kaenda kwa babe wake akawa anatafuta kitu cha kula kupekua kwa fridge akakuta soseji akawa anazishangaa akasema ale tu hizo hizo maana njaa ilimkamata, akaing'ata akakutana na ladha mbayaa kumbe aliila mbichi🤣🤣🤣
Tangia siku hiyo ni akaichukia hali tena hata baada ya kuijulia vzuri
Nikitaka kumchokoza hua namkumbushia hiyo anajichekaa.
Tinsley mambo?Nipo Kaka , mambo mengi
Hakuna wa kunificha
Amen..My prayer for you today:
May you receive good news about something your waiting for. May you be blessed in every area of your life. Jr![]()
Salaam mzee jirani. Kwema pande hizo?Salam kwenu wadau..
uyoga chakula changu pendwa😂😂 weee
Sishangai lakini… me soseji nazila sana,, na kuna rafiki angu hali soseji kabisaa
Yan sijui anapataga mawazo gani akiziona 🤣🤣
Pizza na uyoga mie siwezi kula 😂😂
Kwema kabisa mkuu..Salaam mzee jirani. Kwema pande hizo?