Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Bana me bado sana 😂Pizza me naipenda ila sio ya kula kila siku.
Me hua nakula kwa hamu nikiimiss, kama hapa kuila tena ni hadi next month.
Unajishaua, nitakushtua fuvu ohoo
Baga nakula sana tu, ila pizza nzitooo hata kuitafuna 🤣🤣🤣
Ni muhimu sana mafuvu kushtuliwa 😂😂😂😂