Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

nzuri sana google uone ilivyo 😀😀
Na inaonekana tamuu😋😋
Screenshot_20220818-133016_Opera Mini.jpg
 
si nakuchomolea meetings 😂😂😂
Pizza sio tamu bana, watu tu mnairate kwa viwango visivyo

Injera chakula hiko mama 😂😂😂 google,, mimi usinichoshe
Pizza me naipenda ila sio ya kula kila siku.
Me hua nakula kwa hamu nikiimiss, kama hapa kuila tena ni hadi next month.

Unajishaua, nitakushtua fuvu ohoo
 
Back
Top Bottom