Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,752
- 109,847
Halafu wewe ...sijui kwa nini nilikutag [emoji41][emoji2955]Au nimeangalia vibaya dada
Halafu wewe ...sijui kwa nini nilikutag [emoji41][emoji2955]Au nimeangalia vibaya dada
Mkuu bajeti yako wewe ipo kubwa sana sinilikuomba unipeleke maeneo fulani. Hiyo ahadi lazima itimie don't panicEbu ngoja kwanza kwahiyo sakayo wa kwako sasa hivi
We bado mgeni, kaa kama miaka miwili hivi....tukupimie
#WhoShotGhost?Na huku kulia jamani mabega yale halafu inaonyesha ni mtu wa mazoezi
Hela safi iko B.O.T haijatoka badombona hela chafu hivo
Ila hii thread ina wasomaji wa kimyakimya wanaoifatilia kuliko wachangiaji
Huoni no uko za walioview thread[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umewaonaje eti
Bado unanikumbuka
Hivi ulinitag wapi mbona sijaonaHalafu wewe ...sijui kwa nini nilikutag [emoji41][emoji2955]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]forest mpya??
Hahaha...Forest Mpya
EeeenhMkuu bajeti yako wewe ipo kubwa sana sinilikuomba unipeleke maeneo fulani. Hiyo ahadi lazima itimie don't panic
Mods mkuje mseme ukweliHuoni no uko za walioview thread
Connection utaipata tu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji7]
Hebu fanya kama unatania Mkuu!
Nipe connection hebu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndiwooo nao ni wambea hawataki kupitwaHasa hasa mods, halafu hawajui kama tunawaona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atume na chini uko alivyovaa