Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiyaoge utaumwa na mie bado nakuhitaji didi ake😂😂

Si unataka kujua kinge wewe, njoo tusome magazeti haya, nikikupeleka vacay Ulaya usintie aibuView attachment 2324154
Sahivi sina shida na kingreza 🤣😂 nilikitaka jana at least nikagombane na waingereza wa Totten… sasa nimeshalala nimeamka hasira zimeisha 😂😂😂


Kingreza chako komaa nacho tu vacay twende gwanzuuuu 🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️
 
😂😂😂 jana kuna kitu ulikunywa wewe

Gwanzuu hapo connection kama zote, wacha tutafute nauli tu
 
Wambie warudie boss lady alafu waonyeshe mfano wewe wao wafuate
😂😂🤣🤣😂😂😂🤣😂😂😂😂😂 Mimi ninani hata nikupinge Bossi wetu selfika Africa Mashariki Kusi na kasii??😉😉 Tulia hapohapooo napita kama nilivooooooo😉!
 
😂😂😂 jana kuna kitu ulikunywa wewe

Gwanzuu hapo connection kama zote, wacha tutafute nauli tu
Nilikunywa ginger ale ya moto 😂😂

My didi,, napenda mpira tu mimi jamani,, muulize hata babe wako jana Refa Antony ametufanyia nn Chelsea 😭

Ingekuwaga matusi/ kejeli/ laana zinafanya kazi haki yule jana angezimia 😂😂
 
Hi ccy Antonnia..... Jana nlikua na hako ka series kapya.... Ndo kalikua kakinipotezea mawazo usiku ..... Leo ntapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…