We muache tu, asione vyaelea😂
Being a boss ni raqhaaa eeBarikiwa nawe bageshi🙏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 akiamka ataona..
06:05 muda wa kuamka Boss,, teremka polepole kitandani usije jikwaa kidole cha mwisho😀
Na tukipotea mtuombee 😁Leo kulichangamka hapa.
Nyote barikiweni 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Navyolalaga saa 3 umesahau😂Being a boss ni raqhaaa ee
01:39 huko macho? Na ni j3 kasoro 😂😂
Kuanzia leo sikupendi.
Sitaki marafiki ambao hatuamki muda mmoja kwenda kuhasooo
😂😂😂😂 me maji yamechemka mpk jug limezima,, naona tabu kuamka hapa 😫😫🤣🤣🤣
Boss mwenzangu usingz haujaisha vzuri hapa
Sijasahau 🤣Navyolalaga saa 3 umesahau😂
Ngoja nikaparangane huko nirud hoi nilale zangu saa3 kasoro
Yaani najuta hapa balaa🤣🤣 ngoja niamke nikapambane na maji baridi, maji moto yalishanishinda sijui mwili ndio kuzoea shida au vepe.😂😂😂😂 me maji yamechemka mpk jug limezima,, naona tabu kuamka hapa 😫😫
Sasa mtu umelala saa 8 kasoro unategemea nini 🤣
Heri we unavaa miwani, waweza jisinzilisha kidogo..
Mie majanga tupu 😩
😂😂Sijasahau 🤣
Unalala hadi unaacha kumwangalia bill,, me nalala saa 1, saa 3 namwambia mtu niamshe.. naangalia vitu vyangu kisha narudi kulala..
Kama kuna ⚽️, silali kizembe
Asante mpwaMambo si hayo sasa mpwa!
Tena yuko tayari hata kusilimu. Halafu ni hendisamu hatari. Na uzuri wako huo yaani mtazaa vitoto visupa hatari!
Karibu kwetu mpwa!
Hata wakati hujawa Alumn? KhaaYaani najuta hapa balaa🤣🤣 ngoja niamke nikapambane na maji baridi, maji moto yalishanishinda sijui mwili ndio kuzoea shida au vepe.
Em jiamshe hapo uwahi, hujammiss BT?😂😂
Habari za asubuhi mjombaHata wakati hujawa Alumn? Khaa
Me huku siogi maji ya baridi,, labda gas na umeme vikate wakati mmoja na iwe ni usiku mnene ama alfajiri sana
Nehiiiiii 🤣🤣🤣
Ukioga maji ya baridi gesi na umeme vikikataKumekucha mjomba
Uone nini?
Nilioga mwez uliopita nilivyokua naumwa kifua, nilivyopata nafuu tu nikarud zangu kwenye baridi.Hata wakati hujawa Alumn? Khaa
Me huku siogi maji ya baridi,, labda gas na umeme vikate wakati mmoja na iwe ni usiku mnene ama alfajiri sana
Nehiiiiii 🤣🤣🤣
Ukorofi huo jirani wa kufosiUkioga maji ya baridi gesi na umeme vikikata
Hamna ukorofi hapo 😁Ukorofi huo jirani wa kufosi
Wewe tulia nakutafutia title yako😛Hamna ukorofi hapo 😁
subiri mimi nionyeshwe didi yake😜
Acha ni fosi tuu huu ujirani maana unanionea sana wewe