Selfika na JF: Snap it. Show it

Fungua app kama Mange tupige pesa, una kipaji mtoto mzuri...
 
TuzuIliwe na nani dada 😂😂😂
Hv ushapita hebu irudie bas
 

Ila umependeza
kiportable

Hapo inatakiwa ulijulie ukipiga picha za hivyo unaliset tege linakaa vzuri inaonekana kama pozi flan hv
Halafu miguu yetu imechanua huku mbele kama inasalimiana visigino.

Mimi nilishaanza kusalimisha vidole kwa mbele ..
Vile visigino kusalimiana nimeanza kupambana kwa nguvu kuondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…