Achana na mambo ya simbaNitaangalia marudio kesho
Mzungu wa mchongo
Tunakoelekea baridi itafunga mabao 10 kama Netball halafu sisi wanambeya bila bila[emoji1787][emoji1787]
š¤£š¤£š¤£š¤£ acha tu, me tege langu nishalizoea maana lilinitesa sana mwanzoniUkitembea ukisimama yanayumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]
Yaani matege yanahitaji moyo
Lakini wewe dada muda wote unejaa tabasamu...safi sanaššš raha jipe mwenyew.
Makasiriko yanazeesha sura
Ohooooo......Haisaidii nahitaji kumbatoo
Ishi humo š¤£š¤£š¤£ššš raha jipe mwenyew.
Makasiriko yanazeesha sura
Fanya haraka eeeOhooooo......
Mbona sijawahi kuliona? Au ukisimama unaliweka mfukoni?š¤£š¤£š¤£š¤£ acha tu, me tege langu nishalizoea maana lilinitesa sana mwanzoni
Inabidi tu kukubaliana na hali, muhimu kulijulia jinsi ya kusimama ukiwa mbele za watuš
Jirani vaa jacket utaishinda tu...Tunakoelekea baridi itafunga mabao 10 kama Netball halafu sisi wanambeya bila bila
Nilishaweka huko juu...sema nimegundua suruali kidogo yanazuia yanaonekana ya mchongo.Emu tuone hiyo namna[emoji1787][emoji1787]
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ acha tu, me tege langu nishalizoea maana lilinitesa sana mwanzoni
Inabidi tu kukubaliana na hali, muhimu kulijulia jinsi ya kusimama ukiwa mbele za watuš
Huu mwezi uishe tu.. mtu unavaa unapendeza,, ukitoka nje unajikuta usharudi ndani kutafuta mswetaTunakoelekea baridi itafunga mabao 10 kama Netball halafu sisi wanambeya bila bila
Life is beautiful, wacha tufurahie tu ndio furaha na baraka zaidi zitatumiminikiašLakini wewe dada muda wote unejaa tabasamu...safi sana
Sawasawa jirani..Life is beautiful, wacha tufurahie tu ndio furaha na baraka zaidi zitatumiminikiaš
Sketi labda iwe fupi, ndefu sidhani kama ina shida..Nilishaweka huko juu...sema nimegundua suruali kidogo yanazuia yanaonekana ya mchongo.
Ila sketi aisee inalichora kma lilivyo pure bila kupunguza makali.
Ndiooo didi akeIshi humo š¤£š¤£š¤£
Jirani hujalalaSawasawa jirani..
Yes nakucheki sana karibu kila post yaki na tabasamu juu.Life is beautiful, wacha tufurahie tu ndio furaha na baraka zaidi zitatumiminikiaš
Niko na Laliga jirani..bado.Jirani hujalala