Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Uwiiii
Marahaba jirani, sijambo kabisa.Jijambo jirani..
Vipi wewe hujambo?
Shkamoo..
Not only wave π€£ iga utoke na vitu vya ajabuAah sawa, ilikolea hatariππ
πππ mtu unaweza piga keleleHizi ndio malii za ukistuka usingizini iko pembeni unaishangaa .
Oooh now ndio nimeielewaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π hujawahi ona hiyo memes? Kwamba nimekunywa piritoni na kahawa ili akili ichanganyikiwe kati ya kulala na kuamka?
wee mkanda umenishinda mdogo wangu Tumbo Lilikua linaumaaa khaaa Naomba nibaki kwenye kubalance tumbo kwa diet tu mkanda πππππ!!Ule mkanda boss ledi uachie tuone maendeleo ya kutokomeza tumbo
Unajikutaaaππ si uniambie full detailsNot only wave π€£ iga utoke na vitu vya ajabu
Una hela?Unajikutaaaππ si uniambie full details
Naaah inakufanya usahau shida za dunia.πππ mtu unaweza piga kelele
Hapana namwita aje aselfike banaaa kwani lini tumeanza katazana kutag watu humu lakini???π€£πππππππ!!Unapenda ligi ee
Unauliza weusi kwa BK?Una hela?
Nitakufinya unalijua hiloHapana namwita aje aselfike banaaa kwani lini tumeanza katazana kutag watu humu lakini???π€£πππππππ!!
Leo Sitoki hapa πππππππ
Nipo bosi wangu.
Yaani weweπππHuwaga naona kama yanayumba sijui
Kuna muda nikisimama nayaweka upande mmoja hahah!
Nimecheka hadi nimehisi maini yamecheza π€£π€£π€£π€£π€£Unauliza weusi kwa BK?
Njema kaka.Za siku kidogo bro?
Kwema huko kwako?