Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Mambo[emoji1787]Jirani uhali gani
Poa WigeMambo[emoji1787]
Ni Li zuriMrembo haswa mwenye shape yake mutoto ya chuga mdada mwenye mguu wa bia arusha nzima tajir wa pekee mrembo mwenye crown athletes namba E Depal nakumic
Oooow nakuja hapo dk sifuri πββοΈ
Nakusubiria π
Aiseee!!MmmmmmmMrembo haswa mwenye shape yake mutoto ya chuga mdada mwenye mguu wa bia arusha nzima tajir wa pekee mrembo mwenye crown athletes namba E Depal nakumic
Hahahahaaaa nachat tu hamna cha ziada mzee baba ππππmkuu raraa reree huyo mwanamke mzuri alishasema hapa ana mpemba/mwarabu.. sogea kwa uangalifu.. fujo za wapemba unazielewa πππ
Ila mtoto kanyooka hataree, mpemba/mwarabu anafaidi πππHahahahaaaa nachat tu hamna cha ziada mzee baba ππππ
Siunaonaga hapa namwagaga mabusu tuu πππIla mtoto kanyooka hataree, mpemba/mwarabu anafaidi πππ
Na uzuri mtoto mwenyewe ana roho ya kizungu yani kama malaika flani.. hana roho nyeusi.. yupo poa ukipiga busu anakupa busu hana nomaa kabisaa.. πππSiunaonaga hapa namwagaga mabusu tuu πππ
Nimejikuta nacheka kwa sauti π€£π€£π€£Siunaonaga hapa namwagaga mabusu tuu πππ
Usije ukanitelekeza njiani..huaminiki wewe.Nitakupeleka
Yap anajua hapa ni sehem ya kurefresh mind tu nothing serious πππNa uzuri mtoto mwenyewe ana roho ya kizungu yani kama malaika flani.. hana roho nyeusi.. yupo poa ukipiga busu anakupa busu hana nomaa kabisaa.. πππ
Lizzy where u at babe bado uko kwa beach ππNimejikuta nacheka kwa sauti π€£π€£π€£
πππ sure ila katoto kazuri, japo nothing seriousYap anajua hapa ni sehem ya kurefresh mind tu nothing serious πππ
β± mpaka kesho tena...saa hizi niko huku ππΏLizzy where u at babe bado uko kwa beach ππ
Wewe sasa πππππ sure ila katoto kazuri, japo nothing serious
Unapenda sana muvi lizzyβ± mpaka kesho tena...saa hizi niko huku ππΏView attachment 2323183
Mwache bhana awe anatoa hata pongezi ππWewe sasa ππ
πππ Umeonaaa, mrembo kama huyu hutokuta anazeeka yani kila siku kama kigori, maana moyoni hana baya wala uchungu, ana generate u binti kila siku kwenye mwili wake na roho yake..Mwache bhana awe anatoa hata pongezi ππ