Selfika na JF: Snap it. Show it

Sitaki hapaaaaa, km hataki kunipa aseme tyuuuh, asininyime kwa kuzuga, sitakiiiiiiii
Jamaniiiii usisuse shoss anguu!! Natamani ningekua nasimu yako nikomae kukugombania ivoivoo na speed yangu ya konokono [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chiziiiiii, watu wa halotel leo wanafaidi vocha tyuuh. Washindwe wao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chiziiiiii, watu wa halotel leo wanafaidi vocha tyuuh. Washindwe wao.
Komaa nawe uwahi shos angu jamani usisuse shoss!!
 
Una raha hadi nakutamania jamani.
Una siku nyingi sana za kukaa nyumbani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!! Ulivo mtundu Madam najua huwezi kuanguka[emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Siwezi anguka. Hapa nilikuwa naanza kusinzia ndio nawaza nishuke tu au nisubiri.
Twende kwa Mkapa dear.
 
Siwezi anguka. Hapa nilikuwa naanza kusinzia ndio nawaza nishuke tu au nisubiri.
Twende kwa Mkapa dear.
🤣🤣😂😂 kwani mr vocha ameyeyukia wapi sasa??? Namie anisaidie voda nitest leo simu imekubali copy and paste banaa!!

Lazima niende sitaki kusimuliwa kabisaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…