Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na mimi nisikilizishe eti jamani
Nilimsikilizisha mtu eti akaniambia, kwahiyo dada yako ndio ana sauti nzuri hivo.. Sasa sijui alikuwa anamaanisha mimi nina mbaya?[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]nili mind hiyo siku[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh sasa huyo atakuwa anaspeak ama anasqueak??
Anaongea. Ungemsikiliza basi ungejua namaanisha nini.
Hachoshi kusikilizwa.

Basi siku yenyewe alinipigia nikamrekod anavonigombeza et 'B that's nout good'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mtu anakugombeza kama anakubembeleza. Basi akanifanya kila mara niwe nasikiliza mgombezo wangu.
 
Nilimsikilizisha mtu eti akaniambia, kwahiyo dada yako ndio ana sauti nzuri hivo.. Sasa sijui alikuwa anamaanisha mimi nina mbaya?[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]nili mind hiyo siku[emoji23][emoji23]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila na we ni bhange unajua?? Kwahiyo ukawa unamuinjoi tu mwenzio?? Basi mie nilijua atakuwa ana sauti ya kawaida tu,.[emoji23][emoji23]
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kwani mnaongelea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…