Selfika na JF: Snap it. Show it

Mapema hii
 
Customer Care wa voda nakuonaa nakuona umevamia selfika!! Haya wanakuja pita nahio namba asante kwa matangazo!
Voda wezi sana hawa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamemlia mate 30k ya songesha, akat hata haijui, kuuliza customers care eti aliungwa automatically wakati wa kusajili.
 
Unataka nipunguze kitambi alafu Simu yangu ikichafuka nitafutia wapi[emoji2957]

Hata hivyo utakuwa umeangalia hiyo picha ukiwa umegeuza Simu, Babu yako hana kitambi Mjukuu [emoji2957][emoji2957]
Unachoooo si hiko hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…