Mjep
Boss km Mr vocha. Msimu umeanza wa kandanda naomba uninunulie jezi ya Man City na Simba.
Antonnia
Shougaaaa angu huyu jamaa ni bonge la mtu, defence km ukuta, Namuonea huruma Onyango atakaa bench had ajute.
Beki km beki, Inonga kapata pacha wake halisi.
UNSTOPPABLE!!!!!!!!!!!!!!!
View attachment 2318884