Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Mbona yupo sana humu kila leo yupoo!!Nimeuliza tu mda sijamuona jukwaan hasa humu.
Mbona yupo sana humu kila leo yupoo!!Nimeuliza tu mda sijamuona jukwaan hasa humu.
Ooooh kumbe.Marudio shos nishaiwekaga Humu!!
Yupo kila siku anashinda humu lakini!! Mara ya mwisho ulimuona lini kwani??Labda nikiwa offline anakuwa online.
Wee ushalala?? Sijaona mie.
Mda sana mwez wa 5 sijui.Yupo kila siku anashinda humu lakini!! Mara ya mwisho ulimuona lini kwani??
Naombeni kuuliza kuna mtu anaitwa mahondaw sijui nimekosea jina yupo kweli.






nimwcheka km chizi lol.A think hauko serious,Mda sana mwez wa 5 sijui.







Yupo humu leo kesho na milele amina!! 😉😉😉Mda sana mwez wa 5 sijui.
Cheka utanue mapafu shos! 🤣🤣🤣😂😂nimwcheka km chizi lol.
Tupia za Usiku mnene shoss akee!! 😉😉