Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Attachments

  • P-IMG-20220807-WA0039.jpg
    P-IMG-20220807-WA0039.jpg
    28.5 KB · Views: 9
Sinletee hekaheka za jf mamdo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!![emoji6]
!! Habare za kuchat kwa kuwindana kama digidigi setrakeee [emoji119][emoji119][emoji119]
Kukoseshana uhuru usio na kichwa wala masikio Akhaaaaa!
Mtu mlikua mnachati vizuri mnacheka vizuri mnataniana vizuri ukikubali tu sahauuuu
[emoji6][emoji6]Jf siwawezi kabisa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka shougaaaa angu, kwan una uzoefu na hilo??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka shougaaaa angu, kwan una uzoefu na hilo??
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣 Inahitaji kujitoa ufahamu shoss hahahaaaa!!
Umecheka kuwindana ka digidigii😂😂😂😂!
Hizo hekaheka sitaki kuzirudia kabisa mie Humu Bora Uwe kivyako usitabirike shoss angu!!😉😉!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Inahitaji kujitoa ufahamu shoss hahahaaaa!!
Umecheka kuwindana ka digidigii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
Hizo hekaheka sitaki kuzirudia kabisa mie Humu Bora Uwe kivyako usitabirike shoss angu!![emoji6][emoji6]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa humu ukiwa na mchumba, inabidi ujizime data, bas mambo yanakua buli buli.
 
Back
Top Bottom