Nifafanulie kwa kiswahili tafadhari, Ada hunilipii wee. Usiniumize ubongo wangu. Haya fanya haraka kutafsiri.
Hongera sana mkuu kwa majukumu.Sensa wapi Mkuu walinipiga cha mbavu!! Bize tu na maisha mkuu si unajua kuchakarika tusilale njaa!!
π€£π€£π€£π€£ππππ watu wana maneno jamani Nawao waje waombe kwani tunadaiwa banaaπππ!! !![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] koma weee. Mxxieeeeew
Danga nitoe wapi? Akati mie nahongwa vocha za buku buku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja aje huyo Brian SpilnerWee Brian Spilner nimeona sehemu mlikua mnasemaa???????? Kwamba mie nilikuja pm kwako kuongea nonesense?????[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Mie huyooo Mahondaw ama ?????? Surbi cocastic njoo mnipe maelezo!!
Asante mkuu... tubless basi mchana wetu ukae vizuri jamani usitufanyie hivo!!Hongera sana mkuu kwa majukumu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaah angu nimecheka mnooooo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana maneno jamani Nawao waje waombe kwani tunadaiwa banaa[emoji119][emoji119][emoji119]!! !!
Mi mwenyewe Naomba kam kauwaaa kama una vida ya buku mbili ebu nipasie hapa nimefulia hataree!! [emoji6][emoji6][emoji2960][emoji2960]!!
Brian Spilner werayuuuuuu?? Come this way nasubiria maelezo hapa !!πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja aje huyo Brian Spilner
Aseme vizuri.
πππ€£π€£π€£π€£ mnaniua mbavu shosssπππππ€£ wapi mr vocha Mjep jamani kitambo sijamuonaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaah angu nimecheka mnooooo.
Uwiiiih labda nikuombe wee halotel ya buku.
Woiiiiiiih
Weee walinipa zauso sina hamuuuu!! Nipo tu naandaa mashamba yanguuu hukuu π!
Jioni jirani, nipo njiani.Jirani myoyambendi nimeona hapo umeanza kubariki selfika kwa vocha namie nifanyie wepesi vocha ya voda mie nataka kifurushi cha wikii jiranii!! ππ!!
Hongera, nipe kazi mashambaniWeee walinipa zauso sina hamuuuu!! Nipo tu naandaa mashamba yanguuu hukuu [emoji6]!
Karibu sana Selfika Kashaija nawe umetususa selfika hadi sio vizuri!!Hongera, nipe kazi mashambani
Nyieeee Mshendweeeeeeeeeeee!! Msiniletee balaa lenu mie!! kama mnaenda kushobokea watu pm nakutolewa KO pambaneni nahali zenuu ! Sitaki hekaheka zenu kabisa teinannnnnaaaaa!!ππππππππAtakua Antonnia Last seen yake 31 July!! Brian tutajie bwana
Ukiweka hatabya jero tu Yesu anakaribia kurudi Walai!!Stay tune
Nguvu ya mkongo soon napewa iPhone 14 pro max mtajuta humu View attachment 2314896